Wandani wa Rais Ruto wasema gachagua amekosa maadili
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
4.98M subscribers
36,684 views
0

 Published On Jun 15, 2024

Viongozi wanaomuunga mkono Rais William Ruto wameendeleza mchakato wa kumsuta Naibu Rais Rigathi Gachagua na kutaja siasa zake za hivi punde kama zilizokosa maadili na kuhujumu utendakazi wa serikali. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichungwa, viongozi hao wanadai kuwa naibu rais anaendeleza siasa za kuwagawanya wakenya kwa msingi wa kikabila.

show more

Share/Embed