MADA | Utolewaji wa tuzo za filamu za Kiswahili Afrika Mashariki
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
141 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Jumapili ya tarehe 7 Juni 2014 maarufu Sabasaba yatafanyika maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani yatakayoambatana na tukio la utolewaji wa tuzo za filamu za Kiswahili Afrika Mashariki…tukio litakalofanyika katika ukumbi wa Mliman City.

Ni mambo tapi yatakayoipamba siku hiyo? Fuatilia mjadala huu.

#AzamTVupdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed