VILE NAITAKA - EXSKILLAH
Exskillah Valentino Exskillah Valentino
11.2K subscribers
243 views
6

 Published On Premiered Jul 16, 2022

#EXSKILLAH #Kenyantimes #vilenaitaka #newmusic #X #valentino
"KENYAN TIMES" Album Out Now on YouTube; Listen, Like, Comment and Share..Soon to be released on other media platforms.
"A BEAUTIFUL WORLD" Album Out Now!! Listen, Download and Purchase via the links below:
Spotify: https://open.spotify.com/album/7MYoad...
Boomplay: https://www.boomplay.com/albums/35605...
iTunes: http://itunes.apple.com/album/id15974...
Apple Music: http://itunes.apple.com/album/id/1597...


This song was written, produced and performed by EXSKILLAH.

Lyrics
Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima

Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima


Nipe holy water namix na kivodka
Kadem kanadai dj leta soda
We hukunywa fanta ama coke
Eti ye hukunywa fanta lakini pia coke
So ka mkenya nishaanza kulenga
Nishaanza kuona vile ashaanza kupenda
Na madam naye ashaanza kuteta
Ashaanza kujam kidesign amelewa
Aii hii ni shida ya nani?
Ati hii ni bibi ya nani?
Alafu very quick ashajam na jirani
Kidogo mabare, mangumi hewani


Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima


Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima


Ati this day pia Tuesday tunaifanya ni kama wikendi
Na akileta business on a weekend tunaipiga vinoma videadly
one thing siezi sare ni ganji
We unaipenda mi naijali
Nailove pia naitaka pia
Ona vile naisaka pia
Very soon zinakam
Dream za wakenya
Chill zinakam
Vako za wakenya
Bado hujakam
Jokes wanapenda
Hold that thought

Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima


Vile naitaka ndo vile naifanya
Vile unaitaka si vile ntaifanya
taka twende this way tusharuka that way
Culture ya Kenya umoja daima
tabia ni moja damu pia moja
iga nguo tukuite ngamia
Na on Sunday manze tukitoka church
Holy water na maji lazima

show more

Share/Embed