BILA UNAFIKI! Mwl Kashasha "Kocha wa yanga Cedric Kaze ni bora kuliko kocha Sven_Sababu hizi hapa!
Richard Sosten itatilo Richard Sosten itatilo
630 subscribers
1,187 views
4

 Published On Nov 11, 2020

Uchambuzi wa mwalimu Alex Kashasha akichambua ni kocha yupi kati ya kocha wa Yanga bwana Cedric Kaze na kocha wa Simba Sven....
Kwa maoni yake Mwalimu Alex Kashasha anaona kuwa kocha Cedric Kaze ni bora na ana mbinu nyingi kumshinda Kocha Sven wa Simba Sc
Sababu kuu ya Mwalimu Alex Kashasha kusema hivyo ni kutokana na kuwa Cedric Kaze amekaa muda mfupi tu ndani ya club ya Yanga ila Matokeo yake yamekuwa makubwa kuliko watu walivyotarajia...

wakati hayo yakijiri, MSHAURI wa Klabu ya Yanga, Senzo
Mazingisa leo Jumatano Novemba 11
amehojiwa na maofisa polisi kituo cha
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya
kijamii imeeleza kwamba sababu za Senzo
kuhojiwa ni kuwepo na tuhuma za
mawasaliano yake na aliyekuwa Mkurugenzi
wa Wanachama wa Simba, Hashim Mbaga.
Hivi karibuni Mbaga aliwekwa ndani
akituhumiwa uwepo na mawasiliano na Senzo
ambayo yalilenga kuihujumu Simba sababu
ambayo ndiyo inayodaiwa hata mshauri huyo
kuhojiwa na Polisi.
Senzo aliwahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Simba
ambapo alijiuzulu nafasi hiyo na kwenda
kuajiriwa na mahasimu wa klabu hiyo,
Yanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,
Edward Bukombe amekiri kuhojiwa kwa
Senzo kituoni hapo.
"Ni kweli leo Senzo aliitwa kwa ajili ya
kuhojiwa na alishaachiwa muda mrefu,
aliohojiwa na idara ya upelelezi bado
hawajanipa mrejesho zaidi mpaka sasa,"
amesema RPC Bukombe.

show more

Share/Embed