Mastar VK - Nakuja [Official Video] Prod by
Mastar VK Mastar VK
33.5K subscribers
256,332 views
5.1K

 Published On Feb 28, 2020

©MASTARGANG


STREAM on Spotify & Apple music: https://songwhip.com/mastarvk

DIRECTED BY MASTAR VK & JAMIERYLO
VIDEO EDITED BY JAMIERYLO [0727665517]
AUDIO PRODUCED BY BEATKIDD [0740086640]   / beat_kidd  
MASTERED BY HYBRID [0719350464]

For bookings follow the Mastar on social media:
Instagram:   / mastar_vk  
Facebook:   / mastar_vk  
⭐uploaded by MASTARGANG⭐
Copyright 2020

⛧LYRICS⛧
(VERSE 1)
Luku ni safi ka pamba nadunga mbaka najigamba
Ka chaser makali na shadda nanyanya nika najimada
Skuizi nika me ni nganya nafika kwa keja joh ka ame nipanda
Diva ume shinda uki hanya Ana nikumba nika ana nihanda
Heri niteke Akothee, tupigwe mamboto tupozee, nichachishe ndevu ka rozee, ka jaba kazoze
Huwezi nipata majini, nizame Ati sa niko chini kachipo kabambe na chilli tunyanye ata ka ni kazini.
(HOOK)
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza adi pori
Nika nina mbogi kwa lorry
Safisha uepuke wanori... (×2)
(VERSE 2)
Pesa ita fanya ninone, ka gym alafu nishone
Buda Ana taka nisome, ndo wana kijiji waone
Mboka ina fanya nikose gethaa yakupatana nikuchome
Na bado nasema joh sina gethaa ya kukushika nikupone
Afande anafaa kikombe Nipate ile baze ya vikombe
Mangoto nikama za quavo, nabeba wasupa kwa benzo
Mafala nawapa ma eddy adi sikuizi wauthani ni kenzo
Mbosso imba na ngoso mistari ni kama za leso
Kejani gethaa niko loso mangoko Nateka kwa meso
Hii miti ni refu bado ni dawa me ndo nili pima adamu na hawa Me si mchafu me nime nawa ugali iki kuja nafinya ka kawa Cheki huja shower buda una chawa ka zime shika joh wacha Madawa
(HOOK )
Nakuja kuleta mangori
Nakuja kujaza adi pori
Nika nina mbogi kwa lorry
Safisha uepuke wanori... (×2)

#MASTARVK #NAKUJA #BEATKIDD #PLAYKEMUSIC #TRAP #migos #dababy #roddyrich #quavo #liluzivert #instrumental #weed #stoner #hood #oldskul #youtube

show more

Share/Embed