Published On Sep 5, 2022
Ni saa ya matengenezo na kusafishwa kwa kanisa, Ni saa ya nguvu za Mungu na matengenezo matendo makuu ya Mungu kuonekana ndani ya kanisa, Ni saa ya kukomeshwa kwa vitendo vibaya ndani ya familia zetu...Ushoga,ulawiti,usagaji,ubakaji,ulevi na magomvi na vifungo mbali mbali
Ni saa ya kurejeshwa kwa ibada za Roho na kweli.
Sikikiliza Nyimbo za Mch. Abiud Misholi kwenye mitandao mbalimbali kupitia Link hizi.........
Spotify - https://open.spotify.com/artist/4ZCBt...
Boomplay - https://www.boomplay.com/artists/6301...
Mdundo.com - https://mdundo.com/a/259766
Amazon Music - https://www.amazon.com/s?k=Abiud+Mish...
show more