DOA PART ONE
Sanau Swahili Movies Sanau Swahili Movies
188K subscribers
249,385 views
887

 Published On Premiered Aug 7, 2020

Filamu hii ya doa ni hadithi inayozungumzia maisha ya binti na kijana mmoja walifunga ndoa Ila binti huyo alikuwa ni muongeaji Sana mcheshi kupita kawaida tabia hiyo ilikuwa inamchukiza mume wake na kuona Kama Keri mumewe akaamua kutafuta mwanamke mwingine hawala .hawala huyo akawa sio mstarabu ikafikia Hatua anakwenda kufanya fujo nyumbani kwa mwanaume huyo

show more

Share/Embed