Ester Nyanda - Jina La Yesu (Official Music Video)
Ester Nyanda Ester Nyanda
2.36K subscribers
6,352 views
80

 Published On Premiered Apr 22, 2023

Jina la Yesu" ni wimbo ambao unaelezea ujasiri wa waaminio katika Jina la Yesu Kristo sawasawa na Wafilipi 2:9
(Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;)

Juu ya mateso,magonjwa,utasa,vifo,vilio na changamoto yoyote ile;Tumepewa jina ambalo tukilitaja..mambo yote yanakaa sawa.Dunia ijapopitia uharibifu,usalama wetu tuliomwamini Kristo ni kupitia jina lake..tukilitaja tunaokolewa na mateso

Inua matarajio yako unapotazama wimbo huu,na ni maombi yangu kwamba Imani yako Kwa Kristo ikue zaidi

#EsterNyanda #JinaLaYesu #MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram:   / hurudigital  

show more

Share/Embed