IMAGINE DRAGONS - Believer SWAHILI AFRICAN COVER by PADI WUBONN
Padi Wubonn Padi Wubonn
291K subscribers
20,699 views
1K

 Published On Feb 23, 2022

A SWAHILI DIRECT TRANSLATION OF THE GREAT SONG 'BELIEVER'
MY AIM IS TO PUSH MORE BELIEF TO MY SWAHILI PEOPLE THROGH WHAT I FELT FROM BELIEVER . NO PROFIT INTENTIONS..


LYRICS
Cha Kwanza lazima niseme kila kitu akilini Nina mioto nishachoshwa na jinsi vitu vinavyo enda oooh
na vitu vinavyo enda oooh
Cha pili mbili usinionyeshe chochote siwezi kuwa mi ndio nahodha MI ndio Najua bahari yangu oooooo
Najua bahari yangu oooooo
Nilivunjwa tangu utotoni bembelezana na yeyote usanii kutunga kwa wachache walio nitazama niamini ni elewa uchungu wa kindani maumivu yangu ndio ujumbe ndani ya mishipa niteme mafunzo akilini nipate nafuu kutoka kwa

MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Umenijenga Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Acha marisasi ya pae acha inyeshe
Stedi niko sababu ya
MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu


Cha tatu kumbuka kutuma maombi kwa maulana na chuki ulionayo ifanye roho ya njiwa oooo
Roho yako kupandishwa juu
Nishanyongwa Kati ya wengi maisha ya uongo kupandishwa angusha chini kama jivu matumaini kuzamishwa lakini haikufanyika ni bahati na bado niko stadi na sidhani nishakamilisha na siendi down siendi down in life.

MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Umenijenga Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Acha marisasi ya pae acha inyeshe
Stedi niko sababu ya
MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu

Cha Mwisho jipe mioto na moto ya miyale wewe ndio kielezo cha Nani ndani yako
Nani ndani yako
lakini haikufanyika ni bahati na bado niko stadi na sidhani nishakamilisha na siendi down siendi down in life.

MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Umenijenga Umenifanya mwaminif mwaminifu
MAUMIVU
Acha marisasi ya pae acha inyeshe
Stedi niko sababu ya
MAUMIVU
Umenifanya Umenifanya mwaminif mwaminifu

show more

Share/Embed