JOMO NAVA - SAWA | OFFICIAL MUSIC VIDEO
JOMO NAVA JOMO NAVA
5.89K subscribers
8,135 views
826

 Published On Premiered Dec 15, 2023

- audio produced by ‪@hamadooonthebeat8607‬
- video directed by ‪@blacksignaturevisuals694‬
- written and performed by JOMO NAVA
-stream this song in all music streaming platforms
-let us know what you think about the song.
-thank you so much for always -supporting us, let's make this viral hit.
- the song is about party.
for booking call us through +254742102818
#trending #jomonava #music afrobeat #amapiano

lyrics
Tupa mikono kwa hewa
Bila stress tunabanjuka tu
Tunakata maji tunalewa
Tujinice tukibambika tu
Ukitaka nari unapewa
Toa vumbi ukikatika tu
Hapa leo lazima kuhema
Na mabega tunatingisha tu

Stingoo za ki butterfly (sawa)
Na ukiruka kama Masai(sawa)
Leo ni vumbi , vumbi uwanjani(sawa)
Waonyeshe ukishake your body

Ee stingoo za ki butterfly, sawa
Na ukiruka kama Masai, sawa
Leo ni vumbi vumbi uwanjani, sawa
Waonyeshe ukishake your body iiii

Twende ,
Paka chi , paka chi , paka chi
Paka chinini
Paka chi, paka chi , paka chi, sawa...
Paka chi, paka chi, paka chi
Paka chinini
Paka chi, paka chi, paka chi chi chi chi chi

( Instrumental)

Keep on dancing change position
Tikisa mwili waonyeshe maajabu
Kufika party hatunaga delay
Tusipofika hatukosi sababu

Go down, oh Dj replay
Leo lazima tutoke majasho
Hatutaki vita tunataka muziki
Hujui kucheza utakula kwa macho

Peleka na mwendo wa pikipiki
Tingisha mwili kikikikikiki
Hatuna stress si tuko fity
Mizuka ikipanda tuwashe miti.

Tupa mikono kwa hewa
Bila stress tunabanjuka tu
Tunakata maji tunalewa
Tujinice tukibambika tu
Ukitaka nari unapewa
Toa vumbi ukikatika tu
Hapa leo lazima kuhema
Na mabega tunatingisha tu

Stingoo za ki butterfly (sawa)
Na ukiruka kama Masai(sawa)
Leo ni vumbi , vumbi uwanjani(sawa)
Waonyeshe ukishake your body

Ee stingoo za ki butterfly, sawa
Na ukiruka kama Masai, sawa
Leo ni vumbi vumbi uwanjani, sawa
Waonyeshe ukishake your body iiii

Twende ,
Paka chi , paka chi , paka chi
Paka chinini
Paka chi, paka chi , paka chi, sawa...
Paka chi, paka chi, paka chi
Paka chinini
Paka chi, paka chi, paka chi chi chi chi chi

show more

Share/Embed