MBOSSO AFUNGUKA A - Z CHANZO CHA BIFU LAKE NA ASLAY - "NI UPUUZI TU/WANAWAKE"
Wasafi Media Wasafi Media
4.62M subscribers
372,241 views
0

 Published On Premiered Jul 1, 2022

MBOSSO AFUNGUKA A - Z CHANZO CHA BIFU LAKE NA ASLAY - "NI UPUUZI TU/WANAWAKE"

MSANII kutoka Lebo ya WCB, Mbosso, amefanya mahojiano na kipindi bora cha burudani nchini 'REFRESH' na kufunguka mambo mengi ikiwemo kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band, ukweli juu ya kupendelewa na bosi wake Diamond Platnumz na kubwa zaidi ni juu ya bifu lake na aliyekuwa msanii mwenzake wa kundi la Ya Moto Band Aslay.

Mbosso pia ametaja baadhi ya kolabo alizofanya ambazo zimefanya vizuri sana na kusema wimbo uliondaliwa na Beka Fleva ili washirikiane haukuwa na viwango. Wasanii aliofanya nao kolabo ni pamoja na Zuchu (ambaye anatamba na nyimbo za JARO na FIRE), Tanasha Donna na nyingine nyingi.

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:
INSTAGRAM:   / wasafitv   ||   / wasafifm  
TWITTER:   / wasafitv   ||   / wasafifm  
FACEBOOK:   / wasafitv  

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

show more

Share/Embed