Published On Jun 5, 2024
MTAANI UPDATES: KM MASOKO YACHOMWA Hapa ni KM/Kiwanja Market, ni Place yenye Comrades wa KENYATTA UNIVERSITY huenda Kufanya Shopping zao. Polisi wa Railway wamebomoa na wakachoma vibanda vyao.
Kina Mama Mboga, Na VIJANA Hustlers wa KM wameshinda TU Kilio Leo.
#WueehTV
show more