Watuhumiwa wa utekaji, utesaji wakamatwa
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
66 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekua likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika siku za hivi karibuni wamekamatwa baada ya kuleta taharuki kwa wananchi huku suala la watu kuteswa likitajwa kushamiri.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed