SAKATA LA SUKARI KAA LA MOTO BODI YA SUKARI YA HOJI, SUKARI ILIYOINGIA BILA KIBALI IPO WAPI?
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
980K subscribers
2,417 views
0

 Published On Premiered Jul 5, 2024

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Mkurugenzi wa bodi ahoji meli iliyoingiza sukari bila kibali ilipo

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari nchini Kenneth Bengesi amehoji kwa kuuliza kwamba sukari iliyoingizwa nchini bila kibali ipo wapi, hili limekuja baada ya Umoja wa Wazalishaji wa Sukari Tanzania (TSPA) kuzungumza na waandishi wa habari Julai 1, 2024.
Akizungumza kwa niaba ya wazalishaji wa sukari nchini, Ammi Mpungwe alisema baada ya kuona mpaka Desemba hawajapata kibali wao kama kampuni ya sukari Kilombero wakamua kuchepusha meli iliyokuwa inapeleka sukari mahali nyingine kwa kuwa wao ni wakubwa kwenye masuala ya sukari wakaleta tani 4,500 mwezi wa kwanza wakiwa wanangojea kibali wakipata wahalalishe.

show more

Share/Embed