Jimmy Chansa Ft Jux - Fahamu (Official Music Video)
JUX JUX
1.32M subscribers
692,984 views
11K

 Published On Aug 13, 2021

Jimmy Chansa and Jux deliver the official music video for Fahamu.

© 2021 AFRICAN BOY

Follow Jux:
Facebook:   / juma-jux-553  
Instagram:   / juma_jux  
Twitter:   / africanboyjux  

Distribution by Africori: http://www.africori.com

Lyrics

Verse: 1 [Jux]
Ooooh yeaah,
No no no no no, yeahhh, mmmh mmh mmh Yeaaah ahhhhh (wyda)
Sina kizunguzungu, mama you take me far away, Namshukuru Mungu kunikutanisha mi na we (yep) Kuna wengi nimeona, vingi nimeongea
Ila we unachoma, kila ukisogea,
Nami sioni sisikii kwa vile unavyonipa mama, Sababu nakupenda sana
Na vile ulivonipa jana, niongezeeeeeee
Tena sioni sisikii, kwa vile unavyonipa mama, Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana, niongezeeeeeee

Chorus: [Jux]
Mi nataka ufahamu, mimi kwako siweziii
Mi nataka ufahamu, navokupendaa mamaa, nana
Mi nataka ufahamu, upendo wangu jinsi ulivyo kwako mamaaa Mi nataka ufahamu, nataka, mimi ahh ahh nataka,
Mi nataka,twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka, aaah wewe na mimi, mileleeeee aah ahhh
Mi nataka, mama twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka, aah aah wewe na mimi milelee aah ahhh ahhh

Verse: 2 [Jimmy chansa]
Baby girl, mi nishakuja kuku-pick up, tukale bata la Maisha mimi na wewe,
And I know you, mashoga zako wakutisha, eti kudanga ndo Maisha, acha unielewe Twende bendi mwananjenje
Kimahaba we unichezeeee
Upande ushuke na unidekee mi mama
Tena sioni sisikii, kwa vile unavyonipa mama, Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana, niongezeeeeeee

Chorus: [Jimmy chansa]
Mi nataka ufahamu, we ndo waubaniii
Mi nataka ufahamu, na kwangu unathamaniii
Mi nataka ufahamu, tumeana toka zamani
Mi nataka ufahamu, nataka, mimi ahh ahh nataka, Mi nataka,twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka, wewe na mimi, mileleeeee
Mi nataka, twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka, wewe na mimi milelee

#JimmyChansa #Jux #Fahamu

show more

Share/Embed