Je! Devara ya jr ntr inaweza ikawa movie Bora kutoka kusini mwa India baadaa ya rrr.
GSP SWAHILI GSP SWAHILI
639 subscribers
421 views
0

 Published On Sep 25, 2024

Devara Part 1 ni filamu ya lazima kwa mashabiki wa action na hadithi zenye mguso wa kijamii, huku Jr NTR akiongoza vita dhidi ya dhuluma na Saif Ali Khan akiwa adui mkuu. Imetengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu, ikiwa na action kali na ujumbe mzito. Usikose kuitazama inapowasili tarehe 27 Septemba. Hakikisha ume-subscribe kwenye GSP Swahili ili usipitwe na taarifa zaidi za filamu mpya na uchambuzi wa kina! Tunakuletea filamu bora kila mara – bonyeza kengele ili usikose chochote!

show more

Share/Embed