Jinsi Ya Kukaanga Samaki Vizuri Bila Kushika Chini Na Kuungua
Misosimitamu Misosimitamu
6.31K subscribers
6,786 views
66

 Published On Premiered Jun 8, 2023

Kuna wakati unahitaji kuandaa kitu rahisi, kitamu na kinachotumia muda mfupi. Basi huyu samaki ndio chaguo mahsusi kwa wakati kama huo. Ni samaki mwenye viungo vichache lakini mtamu sana. Ni vizuri kwa kumla kwa ugali, maana huyu samaki akiiva vizuri anaweza kuliwa hadi miba.#samaki #jinsiyakukaangasamaki #samakiwakukaanga #sato


Mahitaji
Samaki sato
Limao 1
Chumvi kijiko 1 cha chakula

show more

Share/Embed