Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba
Frales Diana Frales Diana
632 subscribers
833 views
0

 Published On Premiered Apr 7, 2024

Biashara ya nguo za mitumba inaweza kufanyika sehemu yoyote ile, hii ni kutokana na ukweli kuwa kila mtu ni lazima avae na kuna mitumba ya watu wa hali zote, wale wa kipato cha chini na kipato cha juu. kizuri zaidi mtaji wake huwa ni mdogo sana , mtu yeyote anaweza akamudu.
Inaweza kukupa mtaji mkubwa na ukafanikiwa katika biashara nyingine.

Ni mfululizo wa videos za jinsi gani unaweza ukafanikiwa na biashara ya nguo za mtumba

show more

Share/Embed