Published On Premiered Aug 17, 2022
Lyric video for "Haujui'' by Brayban.
Watch other Music videos by Brayban: • Brayban - Si mimi (Official Audio)
FOLLOW BRAYBAN
Instagram: / brayban
YouTube Subscribe: / brayban
Digital Branding & Marketing: Mavin Inc.
Instagram: / mavinmagmt
Email: [email protected]
WhatsApp/Call: +255759628220
HAUJUI LYRICS
VERSE 1
Mhh mhhhh
Sawa unazo karanga chambua, ila usicheze na moyo wangu
Mchanga usiingie kitumbua, ukatonesha kidonda changu
Unakuja nyumbani, hauko MP umenjvalia pedi (pedi)
Nakumbe mtaani, vijana wa hovyo wanajilia keki(keki)
Kwenye mapenzi hakuna mwenyewe, tusitafute kasoro
Hata nikinywa pombe wanangoja nilewe, ili waniharibie.
Mazoea na X sitaki nielewe, mtapashana viporo.
Mwisho wa siku naumia mwenyewe, naumia sio siri
Chorus
Naugulia kwa ndani mmh
Naugulia kwa ndani,
Naugulia kwq ndani bae, sema tu HAUJUI
Naugulia kwa ndani mmmh
Naugulia kwa ndani,
Naugulia kwa ndani baby,sema tu HAUJUI
Verse 2
Najua tuna mengi, hadi kufika hapa ni kwa baraka za wazee
Pia kuna kununa, upepo ukivuma naona tu nijitetee
Usisubiri nife ndo unipende
Wakinichana uko wewe
Sio kutwa busy bora liende
Nipe kidali po, kidali eeh! Mmmh
Unakuja nyumbani, hauko MP umenjvalia pedi (pedi)
Nakumbe mtaani, vijana wa hovyo wanajilia keki(keki)
Kwenye mapenzi hakuna mwenyewe, tusitafute kasoro
Hata nikinywa pombe wanangoja nilewe, ili waniharibie.
Mazoea na X sitaki nielewe, mtapashana viporo.
Mwisho wa siku naumia mwenyewe, naumia sio siri
Chorus
Naugulia kwa ndani mmh
Naugulia kwa ndani,
Naugulia kwq ndani bae, sema tu HAUJUI
Naugulia kwa ndani mmmh
Naugulia kwa ndani,
Naugulia kwa ndani baby,sema tu HAUJUI
Usisubiri nife ndo unipende
Wakinichana uko wewe
Sio kutwa busy bora liende
Nipe kidali po, kidali eeh!
#Brayban #Haujui