Hali ya upatikanaji fedha za kigeni waanza kuimarika
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
41 views
0

 Published On Jul 4, 2024

Hatimaye hali ya upatikanaji wa fedha za kigeni imeanza kuimarika nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, kitu kilichosababishwa na mauzo ya tumbaku, dhahabu na shughuli za utalii kipindi hiki akiba ya nchi ikiwa ni dola bilioni tano.

#AzamTVUpdates
Mhariri | Alpha Swai, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed