STEVE MWEUSI AMLIPUA CLAM VEVO '' HAWEZI KUWA NA BILLION 2/ IHEFU WAMEMZOEA YANGA'' / CLAM NI MUONGO
Mpenja TV Mpenja TV
514K subscribers
193,551 views
0

 Published On Premiered Oct 4, 2023

Baada ya msanii wa maigizo nchini Clam vevo kufunguka kupitia kipindi cha Clouds Fm kinachoitwa XXL kuwa tangu ameanza kutumia Youtube Channel yake mpaka sasa ameingiza Billion 2, rafiki yake wa karibu Steve Mweusi amefunguka ndani ya Mpenja tv kwa kusema kuwa hakuna ukweli kwenye hilo kwani yeye anajua kuhusu mapato na amempita Jumla ya watazamaji Youtube hivyo sio kweli

Aidha Steve Mweusi amefunguka kuwa anafanya mawasiliano na Golikipa wa timu ya Yanga Djgui Diara anatumiana nae ujumbe kutumia mitandao ya kijamii

show more

Share/Embed