Madaktari wasema watajitokeza hapo kesho kutoa huduma kwa wote watakaojeruhiwa wakiandamana
NTV Kenya NTV Kenya
2.51M subscribers
2,094 views
12

 Published On Jun 24, 2024

Madaktari nchini wamesema watajitokeza kwa wingi hapo kesho kutoa huduma za kwanza kwa wote watakaojeruhiwa wakiandamana. Haya yanajiri huku daktari Austin omondi maarufu Japrado akiachiliwa baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

show more

Share/Embed