Mungu Mweusi
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.21M subscribers
573,453 views
1.5K

 Published On Dec 20, 2014

Kwa wengi Mungu hana mfano, ni mkuu wala hatagemei yeyote kwenye uamuzi wake. Wala haonekani kwa macho maangavu ila wanadamu huwasiliana naye kupitia njia ya maombi. Akawajibu wanadamu kulingana na mapenzi yake. Lakini katika kijiji kilichoko Kaunti ya Uasin Gishu, kuna mtu ambaye amejitokeza na kujitwaza hadhi ya mungu. Waumini wake humuita Jehova Wanyonyi. Kwa sasa Wanyonyi amenyemelewa na maradhi huku akiugua. Na kama anavyotujuza mwanahabari wetu Tom Wanjala, Wanyonyi ana zaidi ya wake 15 na zaidi ya watoto 300 ila alikataa kata kata kusema umri wake.

show more

Share/Embed