Alilipa Deni zangu | Song: Pendo Kuu | Mamajusi Choir | Lyrics
Lucas Kaaya Lucas Kaaya
37.7K subscribers
3,579,064 views
11K

 Published On Feb 4, 2022

Song: Pendo Kuu
Artist: Mamajusi Choir


Song Lyrics:

Verse 1
Pendo kuu la Yesu
lilitosha Kalvari
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alinipenda Yesu
Akaingia gharama
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari

Verse 2
Yesu Atuchunga,
Mchunga Wetu
Naye Atufuta
machozi yetu
Mkononi Mwake
hatuna hofu
Daima twapata
kwake wokovu


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 3
Namtolea Yesu
Nampa moyo wote
Ntampenda Yesu namwandama kila saa
Chini ya msalaba
nataka simama
Ndiye mwamba safarini
Kwa kivuli chema


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 4
Nataka nifahamu
nizidi kupambanua
Mapenzi Yake nifanye
yanayompendeza
Nataka nikae naye
kwa mazungumzo
Nizidi kuwaonyesha
wengine wokovu Wake


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

show more

Share/Embed