Baadhi ya wawaniaji wa urais na wa ugavana wawachagua wanawake kuwa wagombea wenza wao
NTV Kenya NTV Kenya
2.51M subscribers
9,796 views
63

 Published On May 17, 2022

Nafasi ya wanawake uongozini ni suala ambalo limeangaziwa kwa muda mrefu sana humu nchini na haswa pale uchaguzi unapokaribia. Katika historia ya taifa hili wanawake wamekuwa wakipigania kupewa nafasi za uongozi ili kusaidia katika maendeleo ya taifa, na msimu huu wa uchaguzi mambo yanaonekana kubadilika.


Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

show more

Share/Embed