Ondoa Tatizo la Mtandao (Internet) kwenye Simu yako
Gwesa I Tech Gwesa I Tech
308 subscribers
7,032 views
45

 Published On Premiered May 30, 2023

Video hii inaelezea namna ya kutatua changamoto ya Internet kwenye Simu yako kama haipandishi mnala wa internet. Hatua za kufanya
1. Ingia kwenye Mipangilio ya Simu (Setting)
2. Chagua "SIM card and mobile network"
3. Chagua line ya mtandao wenye tatizo la Internet mfano: Halotel, Airtel...
4. Chagua "Access Point Names"
5. Kama simu yako haina mipangilio ya internet bonyeza alama ya Kujumlisha hapo juu na ufatishe hatua zote zilizoelezewa kwenye video hii
6. Kama ipo chagua na ufatishe hatua zote zilizoelezewa kwenye video hii

show more

Share/Embed