Raia elfu moja wa Ukraine wakwama visiwani zanzibar
DW Kiswahili DW Kiswahili
184K subscribers
8,179 views
63

 Published On Feb 28, 2022

Ni hali ya kutatiza unapokuwa likizoni katika taifa la kigeni kisha ghafla ghasia zinaanza katika taifa lako ulikoiacha familia na wapendwa wako. Hii ndio hali iliyolikumba kundi moja la watalii wa Ukraine waliokuwa likizoni katika visiwa vya Zanzibar. Kwa moni yako, wanapaswa kusaidiwa kivipi? Tazama video hii iliyotayarishwa na Yakub Talib. #Kurunzi 28.02.2022

show more

Share/Embed