UCHAWI WA KURITHI FULL MOVIE FILAMU ZA AFRICA
Sanau Swahili Movies Sanau Swahili Movies
188K subscribers
1,017,440 views
3.2K

 Published On Apr 10, 2021

Uchawi wa kurithi ni filamu ya kitanzania inayozungumzia maisha ya mama aliemrithisha mwanae uchawi baada ya mtoto kuwa mkubwa akaanza kutumia uchawi kuwadhuru watu wasiokuwa na hatia ikafikia Hatua akataka kuwa na mahusiano na kijana aliekuwa tayali na mchumba wake kijana alivyokataa msichana mchawi akamfanyia uchawi kijana yule akapofuka macho kijana akaambiwa ili alone lazima akubari kuwa na mahusiano na msichana mchawi baada ya kuwa wapenzi kijana akapata Siri ya kujua ulipo uchawi wa huyo msichana ikabidi auchome Moto na huo ndio ukawa mwisho wa nguvu alizokuwanazo msichana huyo hii ni filamu inayoonyesha maisha ya Africa na tamaduni zake

show more

Share/Embed