Panga pangua ya Rais Samia yawaibua wafanyabiashara
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
165 views
0

 Published On Jul 3, 2024

Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye nafasi ya Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) yamepokelewa na wafanyabiashara kwa matumaini mapya ya kumalizwa kwa changamoto za kikodi na kibiashara zinazowakumba.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed