Azam TV - PROF. HAMO alivyovunja mbavu za watanzania katika mkesha wa mwaka mpya Mlimani City
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
203,112 views
908

 Published On Jan 3, 2018

Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).

Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV

show more

Share/Embed