Takwimu matukio ya utekaji zawaibua wadau
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
48 views
0

 Published On Jul 4, 2024

Siku moja baada ya Serikali kutoa takwimu za matukio ya utekaji yaliyofanyika tangu kuanza kwa mwaka huu, baadhi ya wadau wamekuwa na mitazamo tofauti kutokana na kauli hiyo ya Serikali.

#AzamTVUpdates
Mhariri | Alpha Swai, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed