HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KWENYE MIAKA 20 YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA - JNICC
Ikulu Tanzania Ikulu Tanzania
277K subscribers
843 views
0

 Published On May 27, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama tarehe 25 Mei, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Samia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo na Mwenyeji wa Maadhimisho hayo.

show more

Share/Embed