WAZIRI SILAA AUWASHA MOTO MKOANI PWANI | AUNDA MIKOA MIWILI KUMALIZA MIGOGORO | MTASAIDIWA NA
RAI TV RAI TV
95.8K subscribers
1,040 views
6

 Published On Jul 4, 2024

WAZIRI SILAA AUNDA MIKOA MIWILI KUMALIZA MIGOGORO PWANI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema Wizara yake imefikia maamuzi ya kuanzisha mikoa miwili ya Ardhi katika Mkoa wa Pwani ikiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika falsafa yake ya Maridhiano, Kujenga upya nchi, Uvumilivu na Mageuzi yaaani 4R

Waziri Silaa amesema hayo katika ufunguzi wa kliniki ya Ardhi Bagamoyo kwa ajili ya kusikiliza na mitatu kero za migogoro ya Ardhi kwa wananchi iliyofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Majengo.

Aidha, Waziri Silaa amesema kuwa ofisi za Ardhi zinapaswa kutoa huduma kwa uwazi ili wananchi waweze kusikilizwa pasipo kifucho.

Mikoa mipya iliyoanzishwa ni Pwani Kaskazini wenye wilaya za Kibaha, na Chalinze. pamoja na hayo
Katika hatua nyingine Waziri Silaa amebainisha kuwa Kliniki za Ardhi zinazoendelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini zitafahamika kama Samia Ardhi Kliniki. Pia Pwani kUsini wenye wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Mafia na Kibiti
Ikumbukwe Kuwa Mhe Waziri Silaa anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika majimbo 30 yenye migogoro mikubwa.

show more

Share/Embed